Wednesday, February 13, 2013

THEY SHINE BRIGHT LIKE DIAMONDS?@@111




they look sooo in love jamani mmmh mm sisemi kitu zaidi ya wadumishe pendo lao vp nyie wadauzzz???

VALENTINES DAY IS HERE WATS UR PLANS??/?

so wapenzi niliwamisssssssssssssssssssss sanaaaaa an its february  kama mnavyojuAa mwezi wa mapenziiii so mnaplans gani jamani kwa watu wenu mnaowapenda well mm nawapa zawadi hii hapo juuu.muahsss

Saturday, January 5, 2013

PUMZIKA KWA AMANI SADICK JUMA KILOWOKA

yani ni majonzi na masikitiko makubwa jamani ila ndo kazi ya Mungu aina makosa akapumzike kwa amani



                        eeh Mungu ww ndo mfariji pekee nakuomba umfariji dada wastara


HAPPY NEW YEAR WAPENZI

DAH hope am not 2 late jamani Happy new YEAR 2013 Mungu akawatangulie huu mwaka uwe wa mafanikio na baraka tele

Monday, December 31, 2012