Monday, September 17, 2012

IN LIFE DON'T GIVE UP SO EASLY

                                                                shilole
yan leo nmeshinda home doin cleanliness huku naskiliza radio clouds fm kipindi cha leo tena kukawa na muendelezo wa story wa mwanamziki/mwigizaji shilole  mana alianza last week kuhadidhia well amepitia mambo mengi tangu yupo igunga Tabora akafiwa na wazazi wake akabakwa akiwa na umri mdogo akapata mimba from that incident then akaja kuolewa a kuja dar an jinsi mume alivyokua anamtesa mpaka akaja kuwa mwigizaji jamani usikate tamaa katika maisha hata kama unapitia magumu gani jua kuna mtu anapitia tatizo kubwa kuliko lako tujipe moyo na tumuombe Mungu yeye pekee ndo anzweza kutusaidia

2 comments:

  1. sikusikiliza radio ila nimesikia tu kupitia dada yangu niliporudi job akanihadithia aisee kweli dunia ni mapito nampa hongera sana huyu dada kuna vitu nimejifunza kupitia kwake, nachomshauri awe makin na kazi yake,ajiheshimu na asilewe sifa awe na heshima pia.

    Rose

    ReplyDelete
  2. mh mh. dunia hii waweza kuwa unapata kwa wakati huo lkn nyuma ya pazia kuna mtu anapata shida hata zisizo elezeka. mi nimesikiliza yan utadhani alikuwa akisimlia movie kumbe kweli jamani acheni mungu aitwe mungu.

    ReplyDelete