Thursday, October 4, 2012

MARIAH CAREY AND NICK MINAJ

Kuna beef inayoendelea btn mariah carey na nick minaj ambapo hawa artist ni judges kwenye American idol   maybe ni kazi ya kujudge hawo wnamziki  ndo inawafanya washindwe kuelewana maana sometimes mtu anaweza kuona mtu anaimba then mwingine akaona kawaida or wanafanya kufaipa show rating za juu or wanafanya beef for attention

No comments:

Post a Comment