Monday, February 18, 2013
MATOKEO YA NECTA FORM 4
mmmh matokeo ya form 4 yametoka kama mlivyoskia ni mabovu hongera kwa walio fanya vizuri na pole kwa waliofeli mkae mjipange jinsi ya kujiendeleza kielimu ila jamani elimu ya tz inaenda wapi maana kila siku matokea yanazidi kua mabaya jamani serikali ni mda wa kukaa chini na kuangalia wapi pana tatizo na kuanza kuyarekebisha maana ni hatari
Thursday, February 14, 2013
Wednesday, February 13, 2013
VALENTINES DAY IS HERE WATS UR PLANS??/?
so wapenzi niliwamisssssssssssssssssssss sanaaaaa an its february kama mnavyojuAa mwezi wa mapenziiii so mnaplans gani jamani kwa watu wenu mnaowapenda well mm nawapa zawadi hii hapo juuu.muahsss
Subscribe to:
Posts (Atom)