mmmh matokeo ya form 4 yametoka kama mlivyoskia ni mabovu hongera kwa walio fanya vizuri na pole kwa waliofeli mkae mjipange jinsi ya kujiendeleza kielimu ila jamani elimu ya tz inaenda wapi maana kila siku matokea yanazidi kua mabaya jamani serikali ni mda wa kukaa chini na kuangalia wapi pana tatizo na kuanza kuyarekebisha maana ni hatari
No comments:
Post a Comment