Thursday, October 4, 2012
MARIAH CAREY AND NICK MINAJ
Kuna beef inayoendelea btn mariah carey na nick minaj ambapo hawa artist ni judges kwenye American idol maybe ni kazi ya kujudge hawo wnamziki ndo inawafanya washindwe kuelewana maana sometimes mtu anaweza kuona mtu anaimba then mwingine akaona kawaida or wanafanya kufaipa show rating za juu or wanafanya beef for attention
CHRIS BROWN HAS BROKEN UP WITH KARRUECHE
its official cb ameamua kuwa single baada ya kumwagana na gf wake karrueche tran.according to cb amesema its better awe single bcoz gf wake alikua aufurahii urafiki wa cb na rihanna so its better kila mtu awe na furaha ktk maisha yake bt we both now amebreakup nae coz bado anampenda riri since wamekuwa spotted pamoja in club and cb living riri hotel recently so inawezekana wamesharudiana
Wednesday, October 3, 2012
Tuesday, October 2, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)






.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)





