Monday, December 31, 2012
Sunday, December 30, 2012
KWAHERI MWAKA 2012
Jamani wapenzi nillikua nafikiria tufanye kitu katika kuuaga mwaka 2012 kupitia hii blog ningependa kuwakaribisha mtoe comments zenu kuelezea vitu vilivyo wafurahisha na kuwasikitisha katika mwaka huu na pia kusema wasanii wa bongo na nje ya bongo waliofanya vizuri,walioharibu katika mwaka huu wa 2012. videos,movies,watangazaji waliofunika na walioharibu.hata mapolitician waliofanya vizuri na waliotuingiza mjini karibuni wapendwa wanja ni wenu tufanye hvyo katika kuuga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013. xoxo
Tuesday, December 25, 2012
Sunday, December 16, 2012
Friday, December 14, 2012
Thursday, December 13, 2012
TUBADILIKENI JAMANI
hivi jamani tunaelekea wapi mbona vitendo vya kutupa watoto vimezidi nwdays tatizo ni nini ni wanaume wanakata hizo mimba ama inabidi hii ishu iongezwe kwenye katiba mpya mwanaume hakimpa mtu nyumba anatakia awajibike na akikataa mimba awe anafungwa kisheria maana sasa aina maana umpe mtu mimba then uikatae jamani wasichana na wanawake wenzangu tuache mambo ya kutupa watot yan unakaa na mimba 4 9month afu unajifungua kwa uchungu afu unaenda kutupa hicho kiumbe jamani watu wangaika hawana watoto tubadilike jamani tunapata dhambi kwa Mungu
Sunday, December 9, 2012
HAPPY 51 INDEPENCE DAY MY FELLOW TANZANIANS
LOVE ME SOME TANZANIA JAMANI MNAONAJE NCHI YETU BAADA YA KUTIMIZA MIAKA 51 YA UHURU TOA MAONI YAKO?/
Saturday, December 8, 2012
Monday, December 3, 2012
Friday, November 30, 2012
Thursday, November 29, 2012
Wednesday, November 28, 2012
R.I.P SHARO MILIONEA
jamani mama yake Mungu mtie nguvu huyu mama jamani
pumzika kwa amani kaka utakumbukwa kwa mambo mengi
Sunday, November 25, 2012
NYAMBURA MWANGI A.K.A AVRIL WA KENYA
i love dis gal,shez beautiful,sexy,she can sing afu ana swag thou alinidissapoint na zile pics zake za usagaji hope ameachana na hiyo tabia
KUZAA CIO KIGEZO CHA MWANAMKE KUPOTEZA UREMBO WAKE WA AWALI
dayna
top model belina mgeni
shilole
badaa ya kuangalia hawa wadada watatu maarufu hapa nchini nmecome 2 a conclusion kwamba kuzaa cio sababu ya msichana kuzeeka na kuanza kua bibi jamani wasichana wenzangu tujipende kua mama cio sababu ya ww kujitupa au kujiachia na kunza kuwa mnee na kuwa na tumbo kubwa tujipende jamani hawa wote wanawatoto na bdo wanaonekana wasichana warembo tubadilike jamani!!!!
top model belina mgeni
shilole
badaa ya kuangalia hawa wadada watatu maarufu hapa nchini nmecome 2 a conclusion kwamba kuzaa cio sababu ya msichana kuzeeka na kuanza kua bibi jamani wasichana wenzangu tujipende kua mama cio sababu ya ww kujitupa au kujiachia na kunza kuwa mnee na kuwa na tumbo kubwa tujipende jamani hawa wote wanawatoto na bdo wanaonekana wasichana warembo tubadilike jamani!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)