Sunday, December 30, 2012

KWAHERI MWAKA 2012

Jamani wapenzi nillikua nafikiria tufanye kitu katika kuuaga mwaka 2012 kupitia hii blog ningependa kuwakaribisha mtoe comments zenu kuelezea vitu vilivyo wafurahisha na kuwasikitisha katika mwaka huu na pia kusema wasanii  wa bongo na nje ya bongo waliofanya vizuri,walioharibu katika mwaka huu wa 2012. videos,movies,watangazaji waliofunika na walioharibu.hata mapolitician waliofanya vizuri na waliotuingiza mjini karibuni wapendwa wanja ni wenu tufanye hvyo katika kuuga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013. xoxo

No comments:

Post a Comment