Thursday, December 13, 2012

TUBADILIKENI JAMANI




hivi jamani tunaelekea wapi mbona vitendo vya kutupa watoto vimezidi nwdays tatizo ni nini ni wanaume wanakata hizo mimba ama inabidi hii ishu iongezwe kwenye katiba mpya mwanaume hakimpa mtu nyumba anatakia awajibike na akikataa mimba awe anafungwa kisheria maana sasa aina maana umpe mtu mimba then uikatae jamani wasichana na wanawake wenzangu tuache mambo ya kutupa watot yan unakaa na mimba 4 9month afu unajifungua kwa uchungu afu unaenda kutupa hicho kiumbe jamani watu wangaika hawana watoto tubadilike jamani tunapata dhambi kwa Mungu

No comments:

Post a Comment