Hizi ni picha za msanii ray c wakati anavuma kwenye tasnia ya muziki
na hizi za chini ni jinsi alivyokutwa recently madawa ya kulewa yamemuadhiri tunatakiwa tumuombe jamani huyu dada nampenda sana anasauti nzuri tuombe arudi kuwa kama zamani ili liwe onyo kwa wasanii na vijana kwa ujumla matumizi ya madawa ya kulevya ni hatari jamani yanaleta madhara mengi sana kama maambukizi ya ukimwi,magonjwa ya zinaa,kudidimia kwa uchumi mana yanauzwa kwa bei ghali sana na kifo pia vijana tujichunge,tujipende,tujidhamini na tumuogope Mung jamani
No comments:
Post a Comment