kama mnavyojua wapanze ijumaa hii tarehe 9 ndo fainali za bongo star search jamani mpigie kura mshiriki unaemuona anafaa kushinda kitita cha sh millioni hamsini za kitanzania chonde chonde jamani pigeni kura mana norman alivyotoka roho iliniuma sana
nsami nkwabi(EBBS06)salma yusuph(EBSS09)
nshoma ng'hangasalama(EBSS07)
walter chilambo(EBSS12)
wababa mtuka(EBSS11)
No comments:
Post a Comment