Friday, August 31, 2012

EDUCATION IS SEXY

As da mange kimambi anavyosema education is sexy my dear fellows hasa vijana 2pende kusoma huwa nasikitika sana pale napomuona kijana mdogo anashindwa kumaliza masomo yake either ni coz ya kupata mimba,hali ya kimaisha au kuamua kuacha shule bila sababu za msingi napenda kuwahasa vijana wenzagu 2pende sana shule as they say "ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA"

No comments:

Post a Comment