Friday, November 16, 2012

DADA HUYO AMEOLEWA



nampenda sana Aunty Ezekiel au Rahma nafurahia kuona yupo na mumewe maana watu walishazusha ooh ndoa batili mara skendo kafumaniwa kwenye gazeti Mungu awasaidie katika ndoa yao maana ndoa ci kitu cha kuchezea yahitaji uvumilivu

No comments:

Post a Comment